HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Miaka 15 tangu kifo cha aliyekuwa Makamu wa Rais Kijana Wamalwa 

Ukumbusho wa 15 wa aliyekuwa Makamu wa Rais Michael Kijana Wamalwa  ulisheheni usemi mkuu wa viongozi wa kutoka jamii za magharibi wakisema kuwa umoja wao ndio ukombozi wa eneo hilo huku suala sugu la utata kuhusu sukari tata na masaibu ya wakulima likiibuka.

Show More

Related Articles