HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Ruto ashtumu mashirika ya utafiti kwa kutumiwa kumpiga kisiasa 

Naibu wa Rais William Ruto sasa amewataka viongozi na wanasiasa anaodai wanafadhili mashirika ya utafiti wa kura ya maoni ili kumpaka tope kumkoma.

Akizungumza alipofanya kikao na Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru mapema leo, Ruto amesema madai ya ufisadi dhidi yake ni mojawapo ya mbinu wanazotumia wapinzani wake kumfanya apoteze mwelekeo lakini akasema hawatafaulu.

Show More

Related Articles