HabariMilele FmSwahili

Wawakilishi wadi wa Kirinyaga waahidi kumuunga Ruto mkono 2022

Wawakilishi wadi kaunti ya Kirinyaga wameahidi kuendesha kampeini ya kumuunga mkono naibu wa rais William Ruto kuwania urais mwaka 2022.Wakizungumza mapema leo kwenye mkao wa pamoja na Ruto huko Kirinyaga, wamesema watahakikisha anapata uungwaji mkono kutoka kaunti hiyo.Wamewapuzilia mbali wanaodai jamii ya kati haitaweza kumuunga Ruto.

Show More

Related Articles