HabariMilele FmSwahili

COTU kuongoza maandamano iwapo bei ya mafuta na bidhaa za petroli itaongezwa

Muungano wa wafanyikazi nchini COTU utaongoza maandamano ya kitaifa iwapo bei ya mafuta na bidhaa za petrol itaongezwa kwa asilimia 16.Katibu mkuu wa muungano huo Francis Atwoli anasema wafanyikazi nchini kamwe hawataruhusu serikali kuwatoza ada za juu licha ya kutoimarika uchumi.Anadai mkenya wa kawaida ndiye atakayeathirika pakubwa na ongezeko hilo.

Show More

Related Articles