HabariMilele FmSwahili

Polisi wamzuilia jamaa aliyechapisha picha mtandaoni kuashiria amekuwa akishiriki ngono na wasichana wadogo

Polisi wanamzuilia jamaa aliyepachika picha mtandaoni kuashiria amekuwa akishiriki ngono na wasichana wachanga.William Hanga Mwazombo mfanyakazi wa kampuni moja ya ubawabu ya  Well’s Fargo alikamatwa jana na uchunguzi dhidi yake unaendelea kabla ya kufikishwa mahakamani baadaye leo.

Show More

Related Articles