HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Gavana Waiguru atishia kushtaki Ipsos kwa kumhusisha na ufisadi

Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru sasa ametishia kuishtaki  kampuni ya utafiti ya Ipsos baada ya kumuorodhesha miongoni mwa wanasiasa wanaotuhumiwa ni wafisadi kwenye utafiti wake wa hivi punde.
Kwenye utafiti huo uliotolewa leo asilimia 73 ya wakenya  wanaamini kwamba wale wote ambao wanapatikana katika kashfa za ufisadi hawatawahi fungwa kutokana na vyeo vyao nchini huku asilimia 51 ya wakenya ikitaja kwamba wana imani kuwa Rais Uhuru Kenyatta atakabiliana vyema na ufisadi nchini.

Show More

Related Articles