HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Taifa laadhimisha miaka 40 tangu kifo cha Rais wa kwanza 

Hafla ya leo ya makubusho ya mwazilishi wa taifa Mzee Jomo Kenyatta ilinoga na kuwavutia wengi haswa baada ya Rais Uhuru Kenyatta na viongozi waliofika kwenye hafla hii kutembea kutoka katika majengo ya bunge hadi kwenye kanisa la kikatoliki la Holy Family Basilica.

Hayati Mzee Kenyatta amekumbukwa kama kiongozi aliyekuwa na maono mema kwa taifa la Kenya.

Show More

Related Articles