HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mbunge wa Embakasi North akamatwa kwa tuhuma za ufisadi

Mbunge wa Embakasi North James Mwangi Gakuya atakuwa mgeni wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini, EACC usiku wa leo baada ya kukamatwa kwa madai ya tuhuma za ufisadi jamatano.

Show More

Related Articles