HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mama ajifungua mtoto mwenye uzani wa kilo 6.3, Busia 

Mwanamke mwenye umri wa miaka 35 kutoka kijiji cha Ong’ariama eneo bunge la Teso kusini kaunti ya Busia amejifungua mtoto wa kiume mwenye uzani wa kilo 6.3 katika hospitali ya Alupe.

Licha ya uzani wake mtoto huyo yu salama na sio mara ya kwanza kwa mama huyo kujifungua mtoto mwenye uzani ambao sio wa kawaida.

Show More

Related Articles