HabariMilele FmSwahili

Mbunge wa Embakasi Kaskazini James Mwangi akamatwa

Mbunge wa Embakasi kaskazini James Mwangi Gakuya amekamatwa.Gakuya alikamatwa alasiri ya leo na makachero wa tume ya kupambana na ufisadi EACC kwa tuhuma za ufisadi.Kwa sasa anaendelea kuhojiwa katika makao makuu ya tume hiyo hapa Nairobi.

Show More

Related Articles