HabariMilele FmSwahili

Wizara ya afya kuzindua mpango mpya wa kupamabana na ukimwi Machakos

Wizara ya afya leo inazindua mpango mpya wa kupambana na ukimwi huko Machakos. Hatua hiyo inalenga kupifga jeki tiba kinga na kuwashughulikia wanaoishi na virusi vya HIV. Wizara ya afya inanuia kutangaza mabadiliko kutoka matumizi ya dawa aina ya DTJ ya kukabiliana na maambukizi. Dawa hiyo inaarifiwa kuwasababishia madhara kina mama wajawazito na wanaonyonyesha wizara ya afya ikiwa tayari imeziagiza serikali za kaunti kuhakikisha matumizi yake yanakomeshwa.

Show More

Related Articles