HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mfanyi biashara  Praful Kumar akamatwa kwa madai ya kumhonga Sonko

Majasusi wa tume ya kupambana na ufisadi wanamzuiliwa mfanyabiashara mashuhuri Praful Kumar waliyemkamata alipokuwa akijaribu kumhonga Gavana wa Nairobi Mike Sonko ili  apate idhini ya kuendeela kujenga hoteli katika eneo la Gigiri  Nairobi.
Kumar alikuwa amefika nyumbani kwa Sonko na shilingi milioni moja pesa taslimu lakini majasusi hao wakamnasa.

Show More

Related Articles