HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Miaka 40 tangu kuaga kwa mwanzilishi wa taifa Mzee Jomo Kenyatta

Ni miaka 40 tangu mwanzilishi wa taifa hili hayati Mzee Jomo Kenyatta alipofariki mwaka wa 1978.

Hapo kesho mwanaye rais wa sasa Uhuru Kenyatta ataongoza sherehe za ukumbusho.

Katika kuadhimisha ukumbusho huo k24 imezungumza na aliyekuwa mlinzi wake wa kwanza kwa kimombo “ aide de camp”  meja mstaafu Marsden Madoka na mkewe Elizabeth Mumbi Madoka ambaye alikuwa “miss uhuru  na katibu wake wa  maswala  ya kijamii.

Show More

Related Articles