HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Waumini wa kiislamu washerehekea Eid ul adhaa

Maelfu ya waumini wa dini ya kiislamu humu nchini hii leo waliungana na wenzao kote duniani kuadhimisha sherehe za Eid ul Adhaa inayotunza kumbukumbu ya ya sadak ya ibrahimu.

Huku hayo yakijiri, viongozi wa dini ya kiislamu wakiongozwa na kiongozi wa walio wengi katika bunge la  kitaifa Aden Duale  wamemsuta Kadhii Mkuu Ahmed Muhdhar kwa kusema Eid haipaswi kusherehekewa leo.

Show More

Related Articles