HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Spika wa Seneti aagiza taarifa rasmi kuhusu madai ya hongo

Spika wa Bunge la Seneti Ken Lusaka sasa amemtaka seneta wa Homa Bay ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge kuhusu uhasibu na uwekezaji kuandikia afisi yake barua rasmi kuhusiana na madai yaliyoibuka kwamba kuna maseneta waliohusika na ulaji hongo wakati wa uchunguzi kuhusiana na sakata ya ardhi tata ya Ruaraka.

Ni madai yaliyoibuka siku chache zilizopita ambapo mwenyekiti wa kamati hiyo Seneta wa Homabay Moses Kajwang alisisitiza kwamba yuko tayari kwa uchunguzi wowote ule kubaini madai hayo.

Show More

Related Articles