HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mshukiwa wa sakata ya vipakatalishi akitumia jina la Naibu Rais ashtakiwa

Mfanyibiashara  aliyekodi  nyumba  iliyowekwa tarakilishi  2800 zilizosemekana kupelekwa kwenye afisi ya Naibu Rais William Ruto ameshtakiwa.
Daddy Awiti anayesemekana kushiriki ulaghai kwa kutumia jina la Naibu Rais alikanusha mashtaka hayo na kuachiliwa kwa dhahama ya shilingi  milioni 3 pesa taslimu.

Show More

Related Articles