HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mwalimu adaiwa kuwatesa vibaya watoto mayatima, Kilifi 

Polisi mjini Kanamai kaunti ya Kilifi wanamsaka mwanamke mmoja kwa jina Hababa Fatuma ambaye ni mwalimu wa Madrassa Hajarul Aswad baada ya madai kuibuka kuwa amekuwa akiwatesa watoto yatima na wanaotoka katika familia zisizojiweza kwa kuwapiga na hata kuwaeka pilipili katika sehemu zao za siri pindi wanapofeli darasani au wanapojikojolea.

Show More

Related Articles