HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wafungwa katika gereza la viwandani wanadaiwa kususia chakula 

Idara ya magereza sasa inasema mgomo baridi wa kususia chakula unaoendeshwa na washukiwa wa uhalifu ambao wako rumande katika gereza la Industrial Area Nairobi umechochewa na hatua za usimamizi wa gereza hilo kuwa makini zaidi na kuzuia kuingizwa kwa bidhaa zisizofaa katika gereza hilo.

Kamishna mkuu wa Magereza nchini Isaiah Osugo ameyapuuzilia mbali madai ya washukiwa hao kwamba wamekuwa wakidhulumiwa na hata baadhi yao kuchapwa hadi kufa na maafisa wanaowalinda.

Show More

Related Articles