HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Seneta Kajwang’ akanusha walipewa Sh 100M kupinda ukweli 

Mwenyekiti wa kamati ya bunge la seneti kuhusu uhasibu na uwekezaji Moses Kajwang’ amejitokeza na kukana madai kwamba kuna baadhi ya maseneta kwenye kamati yake waliopokea hongo kutoka kwa mmiliki wa shamba lenye utata la Ruaraka Francis Mburu.

Makao makuu ya idara ya upelelezi wa jinai imehakiki kuwa itakuwa inawaagiza maseneta wanne kufika mbele yake kupigwa msasa kutokana na taarifa inayosemekana iliandikishwa na Mburu kuhusu madai hayo.

Show More

Related Articles