HabariK24 TvSwahiliVideos

Tiba ya kiasili : Mwanamke atatua shida za kiuzazi kwa wanawake Rongai-Nakuru

Tiba ya kiasili

Mama wa umri wa miaka 63 kutoka Rongai kaunti ya Nakuru anazidi kusifika kila kukicha kufuatia idadi kubwa ya kina mama wenye matatizo ya uzazi wanaofurika kwake kupata tiba yake anayodai kuwa ya kiasili.

Kwa siku anawahudumia takriban kina mama 20 nyumbani kwake huku wakati mwingine wengine wakilazimika kupiga foleni kusubiri huduma zake wanaotoka nje ya kaunti ya Nakuru, wanalazimika kulala kwake kwa minajili ya kupata tiba yake ya matatizo ya uzazi.

 

Show More

Related Articles