HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Familia ya watu 5 yaangamia ajalini barabara ya Nyahururu- Nyeri 

Familia moja ya watu watano iliangamia katika ajali barabarani eneo la Kianugu kwenye barabara kuu ya Nyahururu kuelekea Nyeri mapema leo.
Kando na hayo, walimu watatu, karani wa shule na wanafunzi wawili wamekamatwa katika shule ya upili ya Nanyuki kufuatia kifo cha mwanafunzi shuleni humo aliyekuwa akishiriki masomo ya ziada mapema leo.

Show More

Related Articles