HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Washindi wa tamasha la kitaifa la muziki watumbuiza ikuluni, Sagana

Washindi wa mashindano ya kitaifa ya muziki na sanaa baina ya shule yaliyofanyika kaunti ya Nyeri wamemtumbuiza Rais Uhuru Kenyatta aliyeandamana na viongozi wengine katika ikulu ndogo ya Sagana.

Show More

Related Articles