HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mahakama ya Rufaa yapindua uamuzi wa kufuta ushindi wa gavana Wambora

Mahakama ya rufaa hii leo imebatilisha uamuzi wa mahakama kuu ya Embu iliyofutilia mbali ushindi wa Gavana wa Embu Martin Wambora kufuatia uchaguzi wa Agosti nane.

Katika uamuzi wake, Jaji Fatuma Sichale alisema kuwa makosa madogo yaliyoshuhudiwa katika shughuli hiyo hayatoshi kufutilia mbali matokeo yaliyotangazwa.

Show More

Related Articles