HabariSwahili

Mahakama ya rufaa imefutilia mbali ushindi wa Chris Karan

Uchaguzi wa mbunge wa ugenya katika kaunti ya Siaya Chris Karan umefutiliwa mbali. akitoa uamuzi huo, jaji wa mahakama ya rufaa jijini Kisumu Hannah Okwengu amesema kuwa kumekuwepo ushahidi tosha kuwa karani alimchafulia jina David Ochieng kwa kusema kuwa alihusika katika mauaji ya afisa wa IEBC Chris Msando.

Show More

Related Articles