Entertainment and LifestylePeople Daily

Si lazima mabeshte kibao

Early this week, orezo alinijengea siku after kudai amepoteza ma arif dongo wengi kwa kufanya the right thing. Hii statement inakaa like a joke, but ukiifikiria sana kuna kaujanja flani unaweza get ndani yake.

Wadhii kibao hudhani wale mabeshte wao hukata maji na kidish nyama choma nao ni marafiki, but hao si ma arif, but they are just drinking buddies.

Personally, najua mabazenge kibao wenye waupiga tembo na mabeshte karibu wikendi zote za mwezi wakicheki dimba. Hii raia miushindwa wanaspend time na familia zao when, juu kila time wako kwa bukila wakiindulge kuruka. Mimi kitu najua ni heri nikae mtaani na mamaa na mjunki kuliko kushinda nikibleki na ma arif.

Reason yangu hukuwa during time of need, hawa mabazenga watakutoka, especially ile time utashindwa kubuy mamganzi na ngano. Sikatai that all work without play makes Jack a dull boy, but kama vile anko yangu wa mayolo unishow kila siku, too much play makes Jack a broke boy.

Kuna mayout man sijui ni madawa gani wautumia juu unapata huyu mchizi akitoka kwa mticha Friday jioni, atarudi Monday ngware, apige ngasha aendee wera. Shida ni ati huyu brathe mara mob huwa haachi ata jongo ya dishi bana na ako na galdem na mkidi.

Si lazima ukuwe na ma beshte wengi for nothing; the smaller the number the better. Hii kutembea mkiwa mbogi ndiyo huleta swara. Swara ya kwanza ni kudandiwa na masanse, ya pili ni kuchoma picha ya mtaani juu mnakaanga maidlers na ya tatu ni kushtua ma kulungus na wamatha wa mtaa wakidhani nyinyi ni wale wabaya.

Ukidai kujua mabeshte wako vipoa, ingia kwa noma. Hapo ndio utajua wife na maparo pekee ndiyo huokolea mjamaa. Kuna chali flani anaitwa Pinchola, nakumbuka aliget janta na kampu flani bigi ya IT. Pinchola alikuwa anakanjwa karibu ka one-chwani kila mwisho na hiyo majani alikuwa anaikojolea kaa yote.

Monday to Monday alikuwa drinks. Day moja kibahati mbaya alishikwa na cirrhosis na hapo ndio kila drinking buddy wake alisonga na idhaa ya mbele na kumwacha mataani. Maparo na wife wake ndiyo walikuja tu his rescue. Aibu ndio zake hadi waleo. So, kama orezo alidai anaweza kaa bila ma arif, wewe ni nani ukuwe na halaiki?

Show More

Related Articles