HabariSwahili

Nyoka aina ya kifutu “Puff Adder” ilimuua mtoto wa miaka 3 Baringo

Familia ya mzee mmoja kwa jina John Lokeris kutoka kaunti ya Baringo hii leo inaomboleza baada ya mtoto wao wa miaka mitatu kuumwa na nyoka aina ya Kifutu kwa kimombo Puff Adder na kuaga wakati akielekezwa hospitalini.
Mtoto huyo alikuwa akicheza na wenzake wakati wa mkasa huo ambapo alimwangukia nyoka huyo na kumuua mara kadhaa.

Show More

Related Articles