HabariMilele FmSwahili

Zaidi ya orofa 10 zabomolewa Dandora Nairobi

Zaidi ya orofa 10 eneo la Dandora Embakasi Mashariki hapa Nairobi zimebolewa katika zoezi linaloendeshwa wakati huu na kundi maalum kutoka idara mbali mbali za serikali. Inasemekana majengo hayo  yamejengwa katika  ardhi ya shirika la reli la Kenya Railways. Aidha maafisa wa Kenya Railways waliofika eneo hilo wanasema eneo hilo wanataka kuligeuza ili kuwa bustani.Aidha wamiliki wa majengo hayo wamesuta ubomozi huo wakisema walikuwa na stakabadhi zote kuwaruhusu kujenga na wala hawakupewa notisi .

Show More

Related Articles