HabariMilele FmSwahili

Mkewe gavana Waititu akamatwa

Mke wa gavana wa Kiambu Ferdinard Waititu Susan Wangare, anazuiliwa na makachero wa kaunti ya Nairobi. Bi Wangare anasubiri kufikishwa mahakamani muda wowote sasa. Inadaiwa Wangare amekuwa msimamizi wa ujenzi wa nyumba 2 zinazomilikiwa na gavana Waititu hapa Nairobi. Kwa mujibu wa maafisa wa kaunti ya Nairobi ujenzi wa nyumba hizo zilizo katikati mwa jijiji unaendeshwa bila vibali hitajika.

Show More

Related Articles