HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanafunzi Wa Shule Za Msingi Kupewa Mapumziko Ya Katikati Ya Muhula.

Wanafunzi wa shule za msingi sasa wanakila sababu yakutabasamu baada ya serikali kuitikia kilio cha walimu wakuu wa shule za msingi kuwapatia mapumziko mafupi katikati ya mhula kama wenzao wa shule za upili.

Akijibu maswali kuhusu swala hilo waziri wa elimu dkt Amina Mohamed amesema wanafunzi wa shule za msingi pia wanahaki ya kupata mapumziko hayo ili kuimarisha kiwango chao cha masomo shuleni.

Show More

Related Articles