HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Suala la ufisadi latawala kikao kilichoandaliwa baada ya miezi 3

Rais Uhuru Kenyatta hii leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri ambacho ni cha kwanza katika muda wa miezi mitatu.
Suala la ufisadi na ajenda kuu nne za serikali zilijadiliwa kwenye kikao hicho ambacho pia kilihudhuriwa na Naibu wa Rais William Ruto na makatibu wote wa serikali.
Kikao cha leo kimejiri huku Rais Kenyatta akifanya mabadiliko katika shirika la huduma kwa vijana, NYS ambalo sasa liko na katibu mpya, Daktari Francis Otieno Owino.

Show More

Related Articles