HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Wataalam wa kupanga miji wasema mito haiwezi kuhamishwa kwa sasa

Kufuatia usemi wa kubadilishwa kwa mikondo ya mito ili kuzuia ubomoaji wa majengo unaoshuhudiwa jijini uliotolewa na Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu na kuzua msisimko nchini, wataalamu wa kupannga miji pia wameukosoa usemi huo .
Wataalamu hao wanasema kuwa mito ina mkondo maalum na hatua zozote za kujaribu kubadilisha mikondo hiyo huenda zikaleta madhara makubwa iwapo kutakuwa na mvua ya gharika katika siku za usoni.

Show More

Related Articles