HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mfanyabiashara Allan Kiprotich awatapeli wakenya kwa jina la Naibu Rais

Polisi wanamsaka mfanyibiashara kwa jina Allan Kiprotich Chesang mshukiwa mkuu wa sakata ambapo yeye pamoja na washirika wake saba wanaojifanya kuwa wafanyikazi wa naibu rais, wamekuwa wakishiriki ulaghai wa hali ya juu.
Wafanyikazi wake walitiwa mbaroni, zaidi ya vipakatalishi 650 kupatikana, na magari mawili ambayo yamenaswa leo yakiwa na vibandiko bandia vya bunge na ofisi ya naibu rais mtaani Loresho hapa Nairobi.

Show More

Related Articles