HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mbunge Didmus Baraza ataka kamera za CCTV kutumika kutoa ukweli

Ukweli wa mambo kuhusiana na iwapo kulikuwa na ulaji rushwa bungeni kuhusiana na msukumo wa ripoti ya uchunguzi kuhusu sukari yenye utata unazidi kuvutia maswali chungu nzima.

Sasa inaonekana huenda kutakuwa na wabunge ambao watalazimika kuubeba msalaba wao wenyewe kwani semi zinazoibuka ni kama moshi ambao ni ishara ya moto ambao utawaka karibuni.

Show More

Related Articles