HabariMilele FmSwahili

DCI yachunguza kisa cha kupotea watoto 3 katika hosipitali ya rufaa ya Busia

Idara ya jinai DCI inachunguza kisa cha kupotea watoto watatu katika hosipitali ya rufaa ya Busia.Inadaiwa,licha ya tukio hilo,wakuu wa hospitali hiyo wamekuwa  wakijaribu kuficha habari kuhusu jinsi watoto hao walivyotoweka.

Show More

Related Articles