HabariPeople DailyPilipili FmPilipili FM News

KNUT Yazidi Kupinga Uhamisho Wa Wawalimu.

Chama cha walimu nchini KNUT kimeendelea kupinga hatua ya walimu kuendelea kuhamishwa shule za mbali na nyumbani kwao.

Akiongea katika kongamano la walimu wakuu wa shule za msingi hapa Mombasa, katibu mkuu wa KNUT Wilson Sossion amesema wengi wa walimu ambao wamehamishwa wanateseka bila kupewa marupurupu ya kufanya kazi katika mazingira magumu.

Wakati huo huo amesema tume ya kuajiri walimu nchini TSC inapswa kufutiliw mbali kwani imekosa mwelekeo.

Show More

Related Articles