HabariPilipili FmPilipili FM News

Walimu Waombwa Kutojihusisha Na Starehe Zitakazo Waletea Aibu.

Kwa mara nyingine tena wito umetolewa kwa walimu wanaohudhuria kongamano la KEPSHA kaunti ya Mombasa kutojihusisha na starehe zitakazowaletea aibu kipindi hichi ambapo wako Mombasa.

Akizungumza katika kongamano la walimu wakuu la walimu wa shule za msingi,katibu mkuu wa KEPSHA Mavuta David amesema walimu wengi hujihusisha na mambo mengine kando na yale yaliowaleta, huku wengi wao wakiishia kulaghaiwa

 

Show More

Related Articles