MichezoMilele FmSwahili

Wesonga asema Nakumatt itamaliza ligi miongoni mwa timu nane bora

Katibu mkuu wa klabu ya Nakumatt Albert Wesonga ana imani kwamba Nakumatt FC itamaliza ligi miongoni mwa timu nane bora licha ya msururu wa matokeo mabovu , ya hivi karibuni ikiwa kipigo mikononi mwa AFC Leopards siku ya jumapili .Nakumatt hivi sasa ni nambari kumi na nne kwenye jedwali la ligi kuu KPL na ujumla wa pointi 29

Show More

Related Articles