HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mwanamume aliyempiga mkewe ashtakiwa mjini Eldoret

Mwanamume aliyempiga na kumuumiza vibaya mkewe kwa tuhuma za kutumia visivyo shilingi 500 alizompa kununua nyama amefikishwa kizimbani leo mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu.

Hata hivyo, mshukiwa amekanusha mashtaka hayo mahakamani.

Show More

Related Articles