HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mwenyekiti wa Kepsha Shem Ndolo atakiwa kung’atuka wadhifa huo

Mkutano wa walimu wakuu wa shule za msingi, Kepsha ulioanza hii  leo mjini Mombasa ulitibuka ghafla baada ya walimu wakuu waliohudhuria kumgeukia mwenyekiti wao Shem Ndolo wakimfokea huku wakimtaka ang’atuke afisini kwa madai ya kutowajibikia majukumu yake.

Kulingana na walimu hao, Ndolo amedaiwa kuwalazimisha wanachama kulipa shilingi elfu 6 ili kuhudhuria mkutano huo huku ada ya uanachama pia ikiongezwa kutoka shilingi mia moja hadi mia tano kinyume na matarajio yao.

Show More

Related Articles