HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mbunge Fatuma Gedi apinga kuhusika katika utoaji hongo

Nipe nikupe kuhusiana na madai ya ulaji rushwa kwenye bunge la kitaifa kuhusiana na suala zima linalozingira uchunguzi wa sukari yenye utata zinazidi kulitia bunge la kitaifa kwenye mtazamo mbaya.

Sasa inadaiwa kuwa ripoti iliyojadliwa bungeni juma lililopita imeligawanya bunge kwa makundi mawili.

Anders Ihachi anazidi kuzamia suala hilo huku ukweli wa mambo ukizidi kubanwa na wabunge wenyewe.

Show More

Related Articles