HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Ferdinad waititu apinga bomoa bomoa jijini

Hamisheni mito muache kubomoa majengo ya watu. Hayo ni matamshi ya Gavana wa Kiambu Ferdinad Waititu aliyewasisimua wakenya wakati akikashifu shughuli ya ubomiaji majengo yaliyo maeneo ya mito au chemichemi za maji jijini Nairobi.

Show More

Related Articles