HabariMilele FmSwahili

Wakaazi wa  wadi ya Roysambu Nairobi waandamana kulalamikia uhaba wa maji

Mamia ya wakazi wa mitaa ya Kongo na Soweto katika wadi ya kahawa Roysambu hapa jijini Nairobi wanaandamana kulalamikia ukosefu wa maji. Wakazi hao wenye ghadhabu  wanasema suala la ukosefu wa maji katika mitaa hiyo linahatarisha afya yao. Pia wanalalama kuwa maji wanayotumia yamechanganyika na  taka.

Show More

Related Articles