HabariMilele FmSwahili

Swazuri na Atanas Maina wakanusha madai ya kupora shillingi milioni 221.3 katika sakata ya ardhi

Mwenyekiti wa tume ya ardhi Prof Mohamaed Swazuri na mkurugenzi wa shirika la reli Atanas Maina wamekanusha madai ya kupora shilingi milioni 221.3 katika sakata ya ardhi ya fidia kwa mradi wa SGR. wawili hao pamoja na watu wengine 9 wamefikishwa katika mahakama ya Milimani kujibu mashtaka ya jinsi ardhi ya shirika la reli ilinunuliwa na tume ya ardhi na kisha kutumika kama fidia katika njia ya kutia shaka.

Show More

Related Articles