HabariMilele FmSwahili

Kilonzo jr ahutumu spika Justine Muturi kwa kuwahadaa wakenya kuhusu kuhongwa kwa wabunge

Seneta wa Makueni Mutula Kilonzo jr amemtuhumu spika wa bunge la taifa Justine Muturi kwa kuwahadaa wakenya kuhusu kuhongwa kwa wabunge kuangusha ripoti ya sukari akisema alikuwa na ufahamu tosha kulipotoka hongo na waliokabidhiwa. Mutula anasema hulka hiyo iliendeshwa wazi hivyo hakuna haja ya uchunguzi unaoshinikizwa.

anasema wabunge waliiangusha ripoti kwani wengi ni wandani wa mabwenyenye walioagiza sukari hiyo.

Show More

Related Articles