HabariPilipili FmPilipili FM News

Mohammed Swazuri Pamoja Na Mkuu Washirika La Reli Kufikishwa Mahakamani Hii Leo.

Mwenyekiti wa tume ya ardhi dkt Mohammed Swazuri, mkurugenzi mkuu wa shirika la reli nchini Atanas Maina na maafisa wengine sita wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kujibu mastaka ya ufisadi.

Nane hao walikamatwa siku ya jumamosi na kupelekwa makao makuu ya EACC kuhojiwa.

Tume hiyo kupitia afisa mkuu mtendaji wa EACC Halaqhe Waqo,imesema upo ushahidi wakutosha kuwafunguliwa mastaka maafisa hao.

Show More

Related Articles