HabariMilele FmSwahili

Wabunge waliopokea hongo ili kutupilia mbali ripoti ya sukari kukabiliwa kisheria

Wabunge waliopokea hongo ili kutupilia mbali ripoti kuhusu sakata ya sukari watapigwa marufuku kutoka kamati za bunge. Hatua hiyo itachukuliwa baada ya kamati ya mamlaka ya bunge itakayochunguza madai hayo kuandaa ripoti yake. Yakijiri hayo,wabunge wameendelea kujitenga na madai hayo wakitaka idara za uchunguzi kuingilia kati.

Show More

Related Articles