HabariMilele FmSwahili

Swazuri kufikiswa mahakamani leo kujibu madai ya ulaghai dhidi yake

Mwenyekiti wa tume ya kitaifa ya ardhi Mohammed Swazuri anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kujibu madai ya ulaghai katiak utaji fidia kuruhusu ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR, eneo la Embakasi. Swazuri alikamatwa Jumamosi pamoja na afisa mkuu mtendaji wa tume hiyo Tom Chavangi, meneja wa shirika la reli nchini Athanas Maina Miongon mwa watu wengine wanne. Halake Waqo ni afisa mkuu mtendaji wa tume ya ufisadi.

Show More

Related Articles