HabariK24 TvSwahiliVideos

Makovu ya uchaguzi mkuu : Masaibu ya jamaa aliyeshiriki maandamano

IEBC

Kabla na hata baada ya uchaguzi kulikuwa na msukumo kutoka kwa upinzani wa mabadiliko katika yume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC.

Kwenye msukumo huo wengi walijeruhiwa na wengine kufariki kwenye maandamano.

Gordon Odhiambo alimtembelea Collins Kelly ambaye mbali na kuvunjika mkono kwenye maandamano hayo, aliishia kutorokwa na mkewe na mtoto.

 

Show More

Related Articles