HabariK24 TvSwahiliVideos

Rais Uhuru asimama kidete; “bomoa bomoa itaendelea”

Rais Uhuru  Kenyatta amesisitiza kuwa ubomoaji wa majumba yaliyojengwa karibu  na chemichemi za maji utaendelea , licha ya shinikizo kutoka kwa wawekezaji kustisha hatua hiyo.

Kenyatta aliyekuwa akizungumza kwenye kanisa la  Faith Evangelistic Ministry katika eneo la Karen,  amesema kuwa anafahamu kuwa amepoteza marafiki kutokana na ubomoaji huo.

 

Show More

Related Articles