HabariK24 TvSwahiliVideos

Spika Justin Muturi  ataka wabunge waandikishe taarifa kuhusu kupokea hongo

Wabunge ambao wamehusishwa na mjadala unaozingira kuwepo kwa uozo wa ufisadi na ulaji rushwa bungeni wamehitajika kuandikisha taarifa rasmi Jumatatu kupitia kwa karani wa bunge Michael Sialai.

Spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi ameamrisha hilo na kusema kuwa atasaka usaidizi wa tume ya maadili na kupamabana na ufisadi EACC ili watakaopatikana na hatia wachukuliwe hatua za kisheria.

 

 

Show More

Related Articles